16 Aprili 2025 - 16:17
News ID: 1549790
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a s) - ABNA - Hawa ni baadhi ya wageni wa programu ya Qur'an Tukufu. Klipu nzuri kama hii hutayarishwa na timu ya media katika programu hii za Qur'an zinazofanyika Nchini Iran kwa ajili ya wasikilizaji na wapenzi wa Qur'an Tukufu popote walipo Duniani kupita Mitandao mbalimbali ya kijamii. Hakika Qur'an ni Nuru na Mwongozo kwa Waumini.
Your Comment